EU na India zimetangaza makubaliano makubwa ya biashara yaliyosubiriwa kwa miaka 20, yakilenga kuunda soko la watu bilioni ...
Rais wa zamani wa FIFA Joseph Blatter ameelezea kuunga mkono pendekezo la mashabiki kususia mechi za Kombe la Dunia mwaka huu ...
Wanasayansi wanaonya kwamba dunia haijajiandaa kwa ongezeko la joto kali ifikapo mwaka wa 2050. Ingawa nchi za kitropiki ...
Rais wa Marekani Donald Trump amezua mjadala mpana kimataifa baada ya kuzindua Baraza Jipya la Amani wakati wa Kongamano la Kiuchumi la Dunia (WEF) lililofanyika Davos, Uswizi, akisema ni jitihada za ...
Umoja wa Ulaya na India zimesaini mkataba wa kihistoria wa biashara huru kati yao unaowakilisha takriban asilimia 25 ya Pato ...
Kwa mara ya kwanza katika historia, kiongozi wa taifa alilazimika kuamsha kile kilichojulikana kama kifaa cha nyuklia, mfumo ...
Umoja wa Mataifa, siku ya Alhamisi, Januari 22, ulichapisha ripoti yake ya kila mwaka kuhusu hali ya uchumi duniani. Kwa ...
Mahakama moja nchini Japani imeamua kwamba serikali inapaswa kulipa fidia ya gharama za matibabu kwa familia zilizofiwa na wapendwa wao walioathiriwa na bomu la atomiki huko Hiroshima ambao walihamia ...
Vitisho vya kijeshi vya Donald Trump na vita vya kibiashara vinavyoandika wasiwasi kwa washirika, baadhi ya wataalamu wanatoa wito wa kufikiria upya ushirikiano wa muda mrefu wa Australia na Marekani.
Mgombea wa ubunge katika jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma kupitia Chama cha NLD, Hamis Mhagama, amechukua fomu katika ofisi za ...
Klabu hiyo imeandika Jumanne asubuhi: “Tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kufariki dunia kwa baba mpendwa wa ...
SHINYANGA: NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameridhishwa na kazi zinazotekelezwa na makandarasi wazawa ...