Mahakama Kuu ya Tanzania imetamka kuwa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) si taasisi ya kuwakilisha Waislamu wote nchini, na kwamba ni kinyume cha Katiba kwa Serikali kuwalazimisha Waislamu ...