Senegal walitwaa ubingwa wa AFCON 2025 baada ya kuifunga Morocco 1-0 katika fainali iliyojaa drama mjini Rabat. Mchezo ...
KIKOSI cha Yanga, kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Dodoma Jiji katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo ...
BONDIA wa ngumi za uzito wa juu duniani kutoka England, Anthony Joshua amepanga kurejea ulingoni kuzichapa katika mchezo ...
GWIJI wa mashindano ya Formula One (F1), Michael Schumacher ambaye alipata ajali mbaya katika mchezo wa kuteleza kwenye ...
Wakati Simba ikitambulisha wachezaji wapya sita, Yanga kupitia dirisha dogo imeingiza wachezaji wapya watano ambao ni kipa ...
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba wameendelea kuimarisha kikosi chao katika dirisha hili dogo la usajili kwa kumtambulisha winga, ...
KOCHA Mkuu wa Tanzania Prisons, Zedekiah Otieno, amesema licha ya matokeo waliyonayo kutokuwa mazuri, lakini ni mapema sana kuitabiria lolote akiahidi timu hiyo kurejea upya kuanzia mchezo ...
Mchezaji mfupi wa kikapu anayecheza nafasi ya namba moja maarufu zaidi kama point guard hupata wakati mgumu kucheza nafasi nyingine kutokana na umbile lake na hata udogo wa mwili. Ugumu wa kucheza ...
MANCHESTER United kwenye kikosi chao tayari ina mmoja wa viungo bora kabisa wa kushambulia duniani, lakini bado inataka kuongeza mwingine.
SWEET Fella ambaye ni mke wa meneja wa wasanii, Mkubwa Fella, amesema hali ya afya ya mume wake inaendelea kuimarika, hali ...
CHAMA cha Netiboli Mkoa wa Mbeya (Chanembe) kinatarajia kufanya uchaguzi wa kuwapata viongozi wake watakaokitumikia kwa miaka ...
STRAIKA, Harry Kane yuko kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba wake Bayern Munich, jambo linalozima matumaini ya klabu ...