Shirika la afya ya umma nchini Sweden limesema jana Alhamisi kwamba limerekodi kisa cha kwanza cha aina mpya kabisa ya virusi vya homa ya nyani vya clade 1b, nje ya Afrika. Kisa hiki cha Sweden ...