Watoto wengine saba walijeruhiwa na kukimbizwa hospitalini baada ya ajali hiyo basi dogo lilipinduka na kuwaka moto baada ya kugongana na gari lingine, kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya mkoa wa ...
Israel bado haijathibitisha rasmi kwamba ilifanya shambulio nchini Iran mapema Ijumaa asubuhi. Wakati huo huo, viongozi wa kijeshi na kisiasa wa Iran wameamua kupuuza shambulio hilo. Ni silaha za aina ...
Venezuela imekumbwa na tetemeko jengine dogo la ardhi lenye ukubwa wa 4.6 katika kipimo cha Richter, huku juhudi za uokoaji zikiendelea. Kwa mujibu wa Shirika la kuchunguza matetemeko ya ardhi la ...
Mwili wa kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, utawekwa katika jeneza ndani ya Kanisa dogo la Mtakatifu Marta ukiwa umefunuliwa usiku wa Jumatatu ambako ndiko yaliko makazi yake.